Mauzo & Tiketi
Unda oda haraka, chapa risiti na tiketi za kufuatilia nguo.
Mfumo wa POS unaorahisisha kazi kwa wamiliki wa biashara: pokea oda, chapisha risiti, fuatilia status na pata ripoti kwa wakati.
POS ya kisasa kwa usimamizi wa biashara yako yavitu vya jumla au rejareja.
Unda oda haraka, chapa risiti na tiketi za kufuatilia nguo.
Pricing engine inayoendana na kipengee, uzito au kifurushi.
Status za oda: imepokelewa, inasafishwa, iko tayari, imetolewa.
Fuatilia matumizi ya kemikali, vifungashio na vifaa vya duka.
Ratiba za madereva, maeneo na ufuatiliaji wa makabidhiano.
Ripoti za mauzo, wateja, bidhaa zinazoongoza na faida.
Chunguza bidhaa mpya za mwezi huu kutoka maduka yaliyo mtandaoni.
Hatua rahisi kuanza kutumia mfumo wako wa biashara yako.
Unda akaunti ya biashara yako na weka taarifa muhimu.
Weka huduma, bei kwa kipengee/kilo, kodi na punguzo.
Oda za kaunta au mtandaoni; chapa stika na weka status.
Malipo (cash/MNO), invoice, na takwimu za mauzo kwa wakati.
Chagua mpango unaokua sambamba na biashara yako.
TSh 24,000/miezi 3
TSh 43,000/miezi 6
TSh 80,000/miezi 12
Maoni kutoka kwa wajasiriamali wa biasahra wanaotumia POS.
Badili hapa na screenshots za POS yako (dashibodi, mauzo, ripoti).
Jaribu Biashara POS bure kwa siku 14.