Simamia Biashara Yako Kidijitali

Ondoa madaftari. Tumia mfumo wa kisasa wa POS kusimamia mauzo, stoo, na wateja wako kwa usahihi na urahisi.

Nunua Bidhaa
POS Dashboard Preview

1. Weka Stoo Yako Sawa

Ingiza bidhaa zako zote kwenye mfumo kwa urahisi. Fuatilia idadi ya bidhaa na upate taarifa pindi zinapokaribia kuisha. Hakuna upotevu tena.

2. Uza kwa Haraka

Wahudumie wateja wako kwa kasi. Chagua bidhaa, pokea malipo (pesa taslimu au simu), na toa risiti papo hapo. Mfumo ni rahisi kutumia kwa yeyote.

3. Ona Faida Yako

Pata ripoti za kina zikikuonyesha mauzo ya siku, bidhaa zinazopendwa, na faida halisi. Fanya maamuzi ya kibiashara kwa data, sio kukisia.

Inventory Screen Checkout Screen Analytics Screen

Huduma Zetu

Vipengele mahsusi vilivyotengenezwa kwa ajili ya kukuza biashara yako.

Nunua Bidhaa

Data Zipo Salama

Taarifa zako zinatunzwa mtandaoni kwa usalama wa hali ya juu. Haipotei hata simu ikiharibika.

Simamia Wafanyakazi

Wape wafanyakazi akaunti zao na fuatilia utendaji wao wa kazi na mauzo wanayofanya.

Taarifa za Papo kwa Papo

Pokea ujumbe kwenye simu yako kuhusu mauzo na hali ya biashara popote ulipo.